Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini naye awasili kwaajili ya mazishi ya Magufuli

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Marais pamoja na viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili jijini Dodoma, kuhudhuria shughuli ya Kitaifa ya kuaga mwili wa Dkt John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania.
Taarifa za hivi punde kutoka jijini Dodoma zinaeleza kuwa aliyewasili hivi karibuni ni Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, ambaye atashiriki katika shughuli hiyo ya Kitaifa inayofanyika katika uwanja wa Jamhuri.

Marais 11 wanashiriki katika shughuli hiyo, huku nchi tatu zikituma Wawakilishi wa Marais.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments