Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Rais Tschisekedi alivyowasili Dar es salaam kwa ajili ya shughuli za kumuaga Magufuli

Rais wa Januhuri ya Kidemokrasi ya Congo Etienne Tschisekedi amewasili Jumapili usiku jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kwa ajili ya shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Hayati John Pombe Magufuli.
Shughuli za kuuaga mwili wa Magufuli zinafanyika leo katika mji mkuu wa nchi hiyo Dodoma.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments