Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu atoa shukrani hizi kuelekea mazishi ya hayati Magufuli
Kupitia kurasa zake za Mitandao ya kijamii Rais wa JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA mHE. SAMIA SULUHU ameandika ujumbe huu:-“Leo tunapompumzisha mpendwa wetu Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwenye nyumba yake ya milele, kwa niaba yangu binafsi na niaba ya Watu na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, napenda kuwashukuru Watanzania wenzangu, Viongozi wenzangu pamoja na Viongozi Wastaafu, Viongozi wa Nchi na Mashirika Mbalimbali ya Kimataifa, Viongozi wa Dini, Viongozi wa Kisiasa, Jumuiya ya Kidiplomasia, Vyombo vya Habari, wasanii na kila aliyekuwa nasi bega kwa bega wakati huu mgumu kwa Taifa letu. Tafadhali pokeeni shukrani zetu za dhati na muendelee kuiombea roho ya Hayati Dkt. Magufuli ipumzike kwa amani na Mungu aendelee kuifariji familia yake.

Today as we lay to rest our beloved President Dr. John Pombe Joseph Magufuli; on behalf of the People of the United Republic of Tanzania and on my own behalf i would like to thank fellow Compatriots; National Leaders, Religious Leaders, Political Leaders, Diplomatic Community, Media Houses, artists, musicians and everyone who has supported comforted and sent us condolence messages during this difficult and trying times for our nation. May our good Lord grant our beloved late President eternal peace. Amen.”

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments