Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

TANZIA: Bibi Yake Obama Afariki Nchini Kenya
Bibi wa Kambo wa Rais wa zamani wa Merekani Barack Obama, Sarah Obama amefariki leo Machi 29, 2021 katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga, Kisumu nchini Kenya akiwa na umri wa miaka 99, familia yake imenukuliwa na vyombo vya habari vya nchini humo.

Mama Sarah amekuwa mgonjwa kwa muda na amefariki alipokuwa akipokea matibabu

Rais Obama alikuwa akimuita Granny Sarah.

Bi Obama alimtetea mjukuu wake wakati wa uchaguzi wa Marekani iliposemekana ni Muislamu na hakuzaliwa Marekani.

 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments