AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mfalme wa Wazulu wa Afrika Kusini, Goodwill Zwelithini amefariki katika Hospitali ya KwaZulu-Natal alipokuwa anatibiwa Kisukari
Mfalme Zwelithini ameugua kwa takriban mwezi mmoja kabla ya umauti kumkuta alfajiri ya Machi 12. Amekuwa Mtawala wa Zulu tangu 1968
Zwelithini ni Mfalme wa nane wa Wazulu ambapo alimrithi baba yake Mfalme Bhekuzulu kaSolomon
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK