AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Majira ya saa 10:47 alfajiri, usiku wa kuamkia leo Machi 11, Mkoa wa Mara na maeneo jirani ya Kanda ya Ziwa yamepitiwa na tetemeko la ardhi.
Tetemeko hilo lilikuwa na ukubwa wa 4.7 kwa kipimo cha richa, lilianzia Butiama na kufika hadi baadhi ya maeneo ya nchi jirani ya Kenya.
Tetemeko hilo lilidumu kwa sekunde 50, na hadi sasa hakuna madhara yaliyoripotiwa.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK