Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

UVCCM walivyoomba radhi vijana na kuahidi ushirikiano kwa Rais Mhe. Samia Suluhu HassanAkiongea na wana habari jana jijini Dodoma Mwenyekiti UVCCM KHERI JAMES amesema haya:

“kama kuna jambo huko nyuma ambalo kwa maneno au vitendo litatumika kama rejea ya kuzuia dhamira ya Rais wetu sisi tunasema tunaomba radhi na tupo tayari kushirikiana na Rais wetu”

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments