Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

VIDEO: Msolla avunja ukimya sakata la Metacha Yanga ''nilitumiwa clip''

 


"Nilitumiwa na mtu ile Clip ya Metacha, lakini alinitumia bila ya maelezo ya chini lakini baadae nikatumiwa na mtu mwingine ikiwa na maelezo yote, Sinaga mazoea ya kuwapigia simu wachezaji hususani kwa mchezaji ambae ana Meneja, huwa naongea na meneja wake moja kwa moja kwaajili ya maendeleo ya mchezaji, na Metacha Meneja wake ni Jemedari Said, jana sikumpata ila leo nimeongea nae na katika kufuatilia ni kweli namba iliyompigia ni ya kwangu nadhani watu wamehack namba yangu kwasababu siyo mimi niliyempiga" DKT Mshindo Msolla


VIDEO:


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments