Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Wakazi wa Dar wakamilisha kumuaga hayati Magufuli
 Zoezi la kuaga mwili wa Shujaa Wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli limemalizika Uwanja wa uhuru ambapo viongozi mbalimbali na wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na mikoa jirani wamepata nafasi ya kutoa heshima zao za mwisho kwa Mpendwa wetu
Mwili wa hayati Dkt. Magufuli sasa Unatolewa Uwanja wa Uhuru kuelekea Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere tayari kwa kusafirishwa kuelekea jijini Dodoma

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments