Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Watu 5 wamefariki kutokana na ajali ya helikopta Marekani

Watu 5 wamefariki kutokana na ajali ya helikopta jana katika jimbo la Alaska huko Marekani.
Helikopta aina ya Eurocopter AS50 ilianguka kwa sababu zisizojulikana

Mtu mmoja ameripotiwa kujeruhiwa.

Timu ya uokoaji kutoka Kituo cha Uratibu wa Uokoaji wa Alaska ilifika katika eneo la ajali.

Wakati utambulisho wa wale waliopoteza maisha haujafahamika bado, ilitangazwa kuwa Bodi ya Kitaifa ya Usalama wa Usafirishaji imeanzisha uchunguzi juu ya ajali hiyo.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments