Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Waziri Gwajima: Wanaume wengi wanaugua figoImelezwa kuwa wanaume wapo katika hatari kubwa ya kuugua Ugonjwa wa Figo unaotokana na Kisukari na Presha ukilinganisha na Wanawake.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya Dokta Dorothy Gwajima, alipotembelea hospitali ya rufaa ya kanda ya Mbeya.

Kwa Upandea wake Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Dokta Godlove Mbwanji, ameeleza sababu hasa za Wanaume kuugua Ugonjwa wa figo kuliko wanawake

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments