Bodi ya filamu nchini Kenya, KFCB ikishirikiana polisi imemkamata mchekeshaji maarufu, #EricOmondi kutokana na kutengeneza na kusambaza maudhui ya kipindi chake cha Wife Material bila ridhaa yake.
Kwenye msimu wa pili wa #WifeMaterial, washiriki kutoka Kenya, Tanzania na Uganda waliingia kwenye jumba na mchekeshaji huyo. #GigyMoney ni mmoja wa washiriki kutoka Tanzania
VIDEO:
Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:
DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
0 Comments