Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Yanga Yamtimua Kocha Kaze Pamoja na Benchi Lote la Ufundi

 


Uongozi wa Klabu ya Yanga umetangaza rasmi kuvunja benchi lake la Ufundi kuanzia jana Machi 7, 2021

Kutokana na maamuzi hayo, Yanga imeachana rasmi na Kocha Mkuu Cedric Kaze, Kocha Msaidizi - Nizar Halfan, Kocha wa viungo - Edem Mortolsi, Kocha wa makipa - Vladimir Niyonkuru na Afisa Usalama wa Klabu Mussa Mahundi

Uongozi wa Yanga sc umewataka Wapenzi, Mashabiki na Wanachama kuwa watulivu katika kipindi hiki ambapo unafanya jitihada za kupata benchi jipya la Ufundi.


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments