Ticker

6/recent/ticker-posts
.

40 ya Hayati aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Magufuli yafanyika

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMama Janeth Magufuli, Mjane wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli akiwa na Mama Marry Majaliwa, Mke wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakiwa na Mapadre wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro - Oysterbay mkoani Dar es salaam mara baada ya kumalizika kwa Misa Takatifu ya kumuombea Hayati Magufuli ikiwa ni siku ya 40 toka afariki dunia Machi 17 mwaka huu.

Post a Comment

0 Comments