Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Air Tanzania Kuanza Safari za China May 8

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

SAFARI za ndege za Shirika la Ndege la Air Tanzania kutoka Tanzania kuelekea Guanzou nchini China zinatarajiwa kuanza May 08,2021 mara moja kila baada ya wiki mbili.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula, ameyasema hayo wakati wa mazungumzo yake na Balozi wa China hapa Tanzania Wang Ken na kuongeza kuwa safari hizo zitaongezeka kwa kuzingatia muenendo wa COVID 19.

 

Post a Comment

0 Comments