Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Akamatwa kwa kuambukiza watu corona Uhispania

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Polisi wamemkamata mwanaume wa miaka 40 aliyeambukiza watu 22 virusi vya corona (Covid-19) kwenye kisiwa cha utalii cha Majorca.
Ilibainika kuwa mtu huyo ambaye vipimo vyake vya PCR vilithibitisha kwamba alikuwa na corona, aliendelea na maisha yake ya kawaida na kwenda kazini licha ya kuona dalili za Covid-19.

Wafanyakazi wenzake walitoa taarifa kwa polisi kwamba, licha ya mwenzao huyo kuonekana kuwa na kipimo cha nyuzi joto digrii 40 na kukohoa kwa nguvu, kila wakati alikiuka sheria ya kuvaa barakoa na kutoa vitisho kwa wenzake kwa kuwaambia  "Atawaambukiza virusi.’’

Polisi waligundua kuwa mtu huyu ameambukiza watu 8 moja kwa moja na watu 14 kwa njia isiyo ya moja kwa moja.

Ilibainishwa kuwa watatu kati ya watu hao walioambukizwa virusi walikuwa ni watoto wachanga.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments