Baada ya kutajwa na Harmonize, Diva acharuka atoboa siri

Hii ni baada ya Harmonize kumsema Diva kama moja ya washtakiwa wake katika kesi ya Usambazaji wa Video chafu za Harmonize zenye lengo la kuchafua Brand yake.
Mrembo Diva ameonesha kuchukizwa na kuandika yafuatayo"Jaman ? asa mi naingiaje? yan hii yote sababu nilijitoa na kuamua kutokuwa na Pande Yoyote. sikuwa na faidika lolote zaidi i was Puting my life at risk. Picha niliosambaza mi ni ipi? mmejidhalilisha wenyewe on Public ....Yan Harmo kajidhalilisha mwenyewe huo ndio ukweli...serikali inatakiwa mfungulia yeye kesi kwa cyber kwa kujirekodi na kutuma zile video kwanza yeye na Paula na Kajala ndio wanatakiwa washitakiwa hio sheria ipo, Toka nianze mpost Diamond ndio tatizo lilipoanza niwaambie.

Tatizo ni kumpost na kusapoti kazi za wcb, yan hilo ndio tatizo na Diva, akani unfollow na vile mi sikuwahi m follow wala sijashtuka was busy doin ma own thing mi sijali siogopiii..

... yan kantafuta sana tu. afu nilikuwa namsapoti huyu sana ..yan nna mengi sana nilikaa tu kimya...Some People are so ungrateful. Yan nilitukanwa sana kisa harmo ila ukweli sikuwa nalipwa nae ata senti .. i deserve more to start with show zake appearance nilifanya kishkaj hawanaga shukran. na sina nilikuwa napata urafiki uliisha nilipoacha kazi tu akaona sina tena thamani yan he was using me for Promo. nilipoamua kuacha kufanya kazi bila upande ndio apo sasa ...akawa ananimind lakini mi bwana im always saying the truth. sitafuta anything..

Yan mnadhalilishana wenyewe, video mmerekodi wenyewe, mmetongozana wenyewe watu wanapotezea muda mahakama tu, ... hizo v2 zimepostiwa na Rayvanny zikasambaa online yan v2 zipo humuhumu so sielewi kwann mtu anashindwa Jiheshimu ili aende mahakamani..... Mi mefanya kazi tu Im very safe.anyways mi siogopi i have a lawyer so endeleeni tutakutana mahakamani ..TCRA TUNAOMBA KWANZA HARMO AWE KWENYE CYBER LAW KWA KUJIREKODI VITU VYA UTUPU NA PICHA JENGEFU MAANA ZIMEANZIA KWAO WENYEWE.

KADHALILISHA TAIFA. WANAUME PIA YAN ZILE VIDEO NA PICHA CHAFU BASATA TCRA TUNAOMBA M DEAL NAE HUYU MTU NI SIO KIOO CHA JAMII..SEMA LIST APO HAIJAKAMILIKA SHITAKI INSTAGRAM NZIMA AFU UKIMALIZA SHITAKI BIBI YAKE PAULA NA FAMILIA YAKE "


đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đŸ’¥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad