Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Baba Levo aitikia wito wa BASATA

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Baba levo tayari ypo BASATA na hii ni baada ya kuthibitisha kuwa ameitwa , kupitia ukurasa wake wa Instagram Baba levo aliandika kuwa amepokea simu kutoka BASATA na ameambiwa afike saa tatu asubuhi na tayari ameshafika.
Haijafahamika alichoitiwa lakini huenda ni kutoakna na kinachoendelea mitandaoni kati yake na Harmonize kama tunavyofahamu BASATA walitoa angalizo jana kuwa kwa msanii atakayejihusisha tena na hayo mambo ya kurushiana maneno machafu basi watamchukulia hatua za kisheria.

Post a Comment

0 Comments