Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Baba levo: Harmonize sijamtaja kwenye wimbo na mimi nimeeleza Polisi nilipozikuta zile videoHarmonize sijamtaja kwenye wimbo tena hausiki kabisa, naomba msamaha mashabiki waliokereka kwenye wimbo ule hasa BASATA.Kesi ya Central nimeambiwa nimesambaza picha zisizonihusu nasubiria nipelekwe mahakamani nikaombe fidia nilipwe maana kanidhalilisha.


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments