Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Bakwata Yafanya Teuzi za Viongozi Mbali Mbali Nchini

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 63(6), 63(7), 84(13) amefanya teuzi wa viongozi mbalimbali nchini


Msemaji wa Samaha, Mufti Sheikh Khamisi Mataka amesema Baraza la Ulamaa katika kikao chake cha Aprili 4, 2021 chini ya Mwenyekiti wameteua Masheikh wa Mikoa, Makadhi, Makatibu wa Makadhi na Makatibu Mabaraza ya Masheikh wa Mikoa

Post a Comment

0 Comments