Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Bashiru Sio Amla Rushwa
"Kwanza hizi nafasi ni za uteuzi na kila mtu anachagua mtu ambaye anataka afanye naye kazi na kwanini. Dkt Bashiru Ally alikuwa karibu sana na Hayati Rais John Magufuli alimwamini. Kwa upande wangu binafsi namkubali na namwamini sana Dkt. Bashiru, mimi ni mmojawapo ninayesema Dkt. Bashiru sio mla rushwa, ana nidhamu na anapenda kazi yake. Ni mtu ambaye analala masaa mawili, saa 10 kamili alfajiri ameamka hata kama mlilala wote saa 9 hivyo ndivyo tulifanya kazi wote.

Na hicho ndio kitu ambacho alikiona Hayati Rais Magufuli kwake. Naamini kule bungeni ataongeza kitu kikubwa sana" Albert Msando, Mwanasheria.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments