Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Ben Pol Akimbilia Mahakamani Kuvunja Ndoa yake na Arnelisa

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mwimbaji Staa wa Bongofleva Ben Pol @iambenpol amefungua shauri la talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa @anerlisa ambae ni Raia wa Kenya ambapo kwa mujibu wa taarifa kutoka chanzo cha kuaminika shauri hilo limefunguliwa na Benard Paul Mnyang’anga katika Mahakama moja ya Mwanzo Jijini Dar es salaam, hata hivyo bado haijafahamika sababu za Mwimbaji huyu kuamua kuivunja ndoa hiyo.

Ben Pol na Anerlisa walifunga ndoa mwishoni mwa mwezi May mwaka 2020 katika Kanisa Katoliki la St. Gaspar Mbezi Beach, Dar es salaam na kuhudhuriwa na Watu wachache kutoka upande wa familia zote mbili pamoja na Marafiki wachache wa karibu wa familia.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments