Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Bilioni mbili zatengwa kama kifuta jasho kwa watakaovamiwa na wanyama pori

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Serikali imesema imetenga shilingi bilioni mbili katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwa ajili ya kifuta jasho kwa wananchi wote watakaovamiwa na wanyama pori.


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Mary Masanja amesema hayo bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyetaka kujua mikakati ya serikali katika kufidia wananchi wanaoshambuliwa na wanyama pori akiwemo Tembo.

Mhe. Masanja amesema serikali itatoa fidia kwa wananchi wote watakaovamiwa na wanyama kulingana na uharibifu utakaojitokeza.

Post a Comment

0 Comments