Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Billsepenga amtuhumu Lord Eyes kwa kumshambulia

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMtangazaji wa show ya Friday Night Live ya East Africa TV Billsepenga, amemfungulia kesi msanii wa HipHop kutoka kampuni ya Weusi, Lord Eyes kwa kumshambulia na kumdhalilisha nje ya sehemu moja ya starehe iliyopo Masaki Dar es Salaam.Billsepenga ametoa taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa Instagrama ambapo ameeleza kuwa.


"Alfajiri ya leo nimeshambuliwa na kudhalilishwa na maeneo ya Masaki na msanii Lord Eyes, nimefungua kesi Oysterbay na nikipatwa na tatizo lolote naomba yeye awe mtuhumiwa wa kwanza kwa kibaya kitachonitokea ( Joh Makini, Nikki wa Pili Lord Eyes na Gnako Warawara ) ahsante" ameandika Billsepenga 


EATV & EA Radio Digital, imejaribu kumtafuta Billsepenga atoelee maelezo kuhusu chanzo cha tatizo hilo lakini kwa bahati mbaya hakuweza kushika simu yake.

Post a Comment

0 Comments