Ticker

6/recent/ticker-posts

Bobi Wine Atakiwa Kulipa Mil. 386 Arudishiwe Gari

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA
MAMLAKA ya Mapato Uganda URA imemtaka mwanasiasa wa upinzani, Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine, kulipa ushuru $166,700 (TZS milioni 386.6) ili arudishiwe gari lake (Land Cruiser).

 

Amesema awali gari hilo liliruhusiwa kutoka lakini ilipobainika ni lake, URA ikalithaminisha upya.

 

Taarifa ya uamuzi huo kwa kiongozi wa chama cha National Unity Platform (NUP) inakamilisha mchakato wa mamlaka ya forodha nchini humo wa kutathmini thamani ya gari hilo linalozuia risasi (Bullet Proof) ambalo awali lililipiwa ushuru mdogo kwa kulinganishwa na gari lingine la kawaida.

 

Akijibu juu ya hatua kuthamanishwa upya kwa gari lake kupitia ujumbe wake wa twitter, Bobi Wine amelalamikia hatua hiyo.

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Tanzania Zipo HAPA

Ufadhili wa Masomo ( Scholaships) Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments