AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
NAHODHA wa Simba John Raphael Bocco ‘Papaa’ naye amemwaga wino kuendelea kutumikia mabingwa hao watetezi wa ligi kuu Tanzania bara, Simba.
Kupitia ukurasa wa Simba kwenye mtandao wa Instagram wame share picha za mshambuliaji huyo akisaini mkataba.
Hii imekuja muda mfupi baada ya beki Mohamed Hussein kuongeza kandarasi jipya kuendelea kuitumikia Simba.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK