Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Breaking News: Kimbunga Jobo Hakipo Tena, Kimeishiwa Nguvu

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetaarifu kupungua kwa nguvu za Kimbunga JOBO kadiri kilivyokuwa kinakaribia nchi kavu

Mamlaka imetangaza kuwa Kimbunga JOBO hakipo na hakutakuwa na madhara ya moja kwa moja yaliyotarajiwa

Wananchi wameshauriwa kuendelea kufuatilia taarifa za utabiri kutoka TMA

Post a Comment

0 Comments