Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Breaking: Nyalandu Atangaza Kurejea CCM Mbele ya Rais Samia

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREAliyewahi kuwa mwanachama wa CCM na Waziri wa Maliasili na Utalii na kisha baadaye kujiunga na Chadema Lazaro Nyalandu ametangaza rasmi kurejea CCM mbele ya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu kupitia Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Dodoma leo Aprili 30, 2021 akitokea CHADEMA.


Post a Comment

0 Comments