Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Breaking: Wachimbaji Wanne Wafariki Busega

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Wachimbaji wanne wamepoteza maisha huku mmoja akijeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi wa dhahabu wa Namba Mbili uliopo kijiji cha Ilujamate Wilaya ya Busega Mkoa wa Simiyu.

 

 

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Richard Abwao amesema ajali hiyo ilitokea kutokana na kuporomoka kwa kuta za duara kuporomoka kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

 

 

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mji wa Bariadi Somanda, Dk Costantine Yohane amesema wamepokea miili minne ya marehemu katika hospitali hiyo ambayo imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhi maiti huku hali ya majeruhi mmoja ikiendelea vizuri.

Post a Comment

0 Comments