Ticker

6/recent/ticker-posts
.

DC Hai Sabaya: akamata vifaa vya kutoa mimba na kung’oa meno ,alijifanya anafanya biashara ya mpesa

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na Kamati ya Ulinzi na Usalama imeongoza operesheni maalumu iliyofanikiwa kupatikana kwa vituo vya Afya Bubu ambavyo awali wamiliki waliendesha maduka yao kana kwamba wanafanyabiashara ya M-pesa/kubadili fedha kwa njia ya Mtandao huku kiuhalisia wanaendesha biashara ya kutibu na kuuza madawa ya binadamu kinyume cha kanuni na Taratibu za Afya.Ole Sabaya ameelekeza mmiliki wa duka hilo Othaman Kimaro kushikiliwa na vyombo vya Dola ili atoe ushirikiano kwa matukio mbalimbali ikiwemo maelezo kuhusu vifaa maalum vya kutoa mimba, kung’oa meno, pamoja na kupatikana na madawa maalum ambayo kwa mujibu wa taratibu hutolewa kwa kibali maalum.

Ni daktari feki akitoa huduma za kibingwa.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments