Ticker

6/recent/ticker-posts
.

DJ Seven: Harmonize kwa sasa ndio msanii namba moja Tanzania, ndio wakati wake

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREAkiongea na @el_mando_tz DJ wa @harmonize_tz @djsevenworldwide ameeleza kuwa watu wengi walikuwa hawaamini ukubwa wa Harmonize ila sasa wameanza kukubali, Harmonize ndio msanii pekee Tanznaia anayeweza kuandika wimbo kwa lugha mbili na ukapenbdwa kwa Kiingereza na Kiswahili.

Sukari ya @officialzuchu ni ngoma kali sana hata Jeje ya @diamondplatnumz lakini pia kuna baadhi ya ngoma kwenye Album ya @mbosso_ , sisikilizagi nyimbo za @rayvanny ukijataja msanii namba moja kwa sasa Tanznaia ni Harmonize.


Post a Comment

0 Comments