DJ Seven: Ibraah alimjibu Rayvanny kwa sababu alikuwa anamchafua boss wake

 
Official Dj wa Harmonize DJ Seven ameongea hayo akizungumza na @el_mando_tz na kueleza kuwa mambo yalivyokuwa yanaelekea yalikuwa yanaenda pabaya ingawa ngoma ya Attitude ilikuja kutuliza hali ya hewa.

Ameongeza kuwa “Kuhusu yaliyokuwa yanaendelea mtandaoni sikufurahishwa hata kidogo na Ibraah kumjibu Rayvanny ni sawa kwani hakuna mtu ataona Boss wake anazungumziwa vibaya.đź’ĄNAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đź’ĄNAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đź’ĄNAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad