Ticker

6/recent/ticker-posts
.

DJ Seven: Kushindana kwenye muziki kitu cha kawaida ila washindane studio sio kuharibiana brand

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 
Official Dj wa Harmonize DJ Seven ameongea hayo akizungumza na @el_mando_tz na kueleza kuwa mambo yalivyokuwa yanaelekea yalikuwa yanaenda pabaya ingawa ngoma ya Attitude ilikuja kutuliza hali ya hewa.

Ameongeza kuwa “Kuhusu yaliyokuwa yanaendelea mtandaoni sikufurahishwa hata kidogo na Ibraah kumjibu Rayvanny ni sawa kwani hakuna mtu ataona Boss wake anazungumziwa vibaya.

Post a Comment

0 Comments