Dkt. Bashiru Ally na Wabunge Wengine Walioteuliwa Jana Na Rais Samia Waapishwa Bungeni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA







Spika wa Bunge Job Ndugai leo April 1, 2021 amewaapisha wabunge watatu walioteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wabunge hao ni Balozi Dkt. Bashiru Ally, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk na Balozi Liberata Mulamula ambao kwa pamoja wameapa mbele ya Spika wa Bunge.

Pia Spika Ndugai ametumia nafasi hiyo kuahirisha vikao vya Bunge hadi April 6 mwaka huu saa 3:00 Asubuhi na kuwatakia heri ya sikukuu ya Pasaka waumini wote wa madhehebu ya Kikristo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad