Dokii Athibitisha Kuolewa na Mchekeshaji Mpokii


From @dokiiwenceslaus Napenda kuwashukuru waliowezesha Ndoa hileee
Coz mapito yalikuwa Mengi
Haikuwa rahisi Uhusiano kuiweka Adharani
Uhusiano ulikuwa wa Siri saanaa japo kuna kipindi watu walihisi bt haikiwa Rahisi hivyo kupata uwakika na wanachohisii
Japo Dogo nilimkuza mwenyewe ktk mambo ya sanaa na si vinginee
Shukrani kwa @asas_dairies kulikamilisha Swala zima la Ndoa
Aaaah Wache ntulie sasa Swala lishaishaa
Nijipimzishe kwangu miiee
Nilee watoto wajao na hawa waliopo
Nakupenda sana wewe.đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đŸ’¥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad