Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Dr Kigwangalla "Mashine za Kujifukiza Nyungu Muhimbili Ivunjwe , Viongozi Wavae Barakoa

 


Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo

-

Kigwangwalla amesema Wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama Mbunge watalizungumza Bungeni ili kuanza kufuata njia za Kisayansi

-

Amesema si sawa kwa Taasisi kubwa kama muhimbili kuwa na mashine za kupiga nyungu. Ni muhimu watu kufuata hatua za afya kama kuvaa barakoa na mengineyo

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments