Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Dulla Makabila amshauri Ibraah: anayepigana na boss wako anaweza kuwa boss wako kesho, huwezi kuamulia kaa kimya

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREKupitia Instagram ya Dulla Makabila ameandika ujumbe huu:

“USHAURI : @ibraah_tz Boss Wako Anapopigana Sio Lazima Na Wewe Upigane We Amulia Tu Ukiona Umeshindwa Kaa Pembeni Sababu Anaepigana Na Boss Wako Leo Anaweza Pia Akawa Boss Wako Kesho.

LENGO ZURI LIMEKAA KWENYE MPANGO MBAYA 🧠”
Post a Comment

0 Comments