Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Gigy Money Aomba Msamaha Tena

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Msanii wa Bongo fleva na mfanyabiashara nchini, Gift Stanford, maarufu kama ‘Gigy Money’ ameendelea kuomba msamaha kwa kupunguziwa adhabu ya kifungo chake cha miezi 6 kufanya kazi za Sanaa baada ya kutolewa agizo la kufunguliwa kwa TV za mitandaoni na Rais samia suluhu.

Msanii huyo alifungiwa kufuatiwa tuhuma za kosa la kuvaa nguo zinazoonesha maumbile yake katika moja ya tamasha la wasanii lililofanyika januari 2021.

Gigy Money ameomba apunguziwe adhabu hiyo ilikuweza kufanya kazi zake za usanii maana ni tegemezi wa familia pia ana mtoto mdogo anayemtegemea.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments