Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Gigy Money 'Aomba Msamaha'

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMsanii Wa Muziki Wa Bongofleva ambae pia Ni video vixen Gift Stanford maarufu Kama Gigy Money amlilia Msemaji Mkuu Wa Serikali dkt.Hassan Abas .

Msanii huyo alifungiwa kutoakujihusisha na kazi sanaa Mara baada ya kukiuka Maadili na kuonyesha baadhi ya Maungo yake wakati akiwa Kwenye jukwaa la "Wasafi Tumewasha" katika Mkoa wa Dodoma.

Hata hivyo Gigy Money ameongea na kituo kimoja Cha online tv nakuomba Msamaha Kwa Msemaji Mkuu Wa Serikali dkt.Hassan Abas Kumsamehe na kumfungulia Kuendelea na kazi zake za sanaa Kwani ndio vinavompa riziki na kuweza kumudu Maisha yake pamoja na Kumlea Mtoto wake.

"Kumfungia Mtoto wakike kutoendelea Kufanya kazi ni sawa na Kumpa nafasi ya Kufanya Vitendo viovu."

Kutokana na Maisha yake kuwa Magumu.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments