AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
GLOBAL TV imemtembelea msanii Mkongwe wa muziki wa dansi nchini aliyetamba zaidi na kibao chake cha ‘KITAMBAA CHEUPE’, Mzee King Kiki, ambaye kwa sasa anasumbuliwa na maradhi ambayo yamemsababishia kukaa nyumbani na kushindwa kuendelea na kazi zake.
NGULI huyo amekumbwa na maradhi ya uti wa mgongo.
Unaweza kumchangia fedha kwa ajili ya matibabu kupitia nambari hii
( 0713 50 50 62 au 0757 50 50 62 – JINA COSTANSIA KALANDA)
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK