Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Hali ya Rapper DMX Aliyelazwa Kutokana na Madawa ya Kulevya Bado Sio Nzuri, Familia na Marafiki Wafanya Mkesha wa Maombi Hospitalini


Familia ya DMX imepanga kufanya mkesha wa maombi katika hospitali ya White Plains alipolazwa rapa huyo ambaye wiki iliyopita alizidiwa nyumbani kwake kwa kuzidisha matumizi ya dawa za kulevya. Mkesha huo wa sala na maombi umepangwa kufanyika leo Jumatatu.


Jana Jumapili wauguzi pamoja na jopo la madaktari walifanya mkesha wa maombi kumuombea rapa X ambaye bado anapambana kuokoa uhai wake kwenye chumba cha wagonjwa mahututi. Mchumba wake pamoja na watoto wake wameruhisiwa kuingia kumtazama.


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments