"Harmonize Akanusha "Hiyo Video sio Mimi Wameunganisha ili Kunichafua..Narudia Sio Mimi na Sina Maumbile Yale"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Taarifa Kwa Umaa ...!!! 📢 Video Zilizo tengenezwa na Kusambazwa Mtandaoni Zikiwa Zinaonyesha Sura Yangu Na Kuunganishwa Na Utupu Wa Mtu Mwingine Kisha Kuunganishwa Na Sauti Yangu Kwa Lengo La Kunichafua Kunidhalilisha Na Kuharibu BRAND YANGU ambayo Nimeitengeneza Kwa Mabilioni Ya Shiringi ..!!!! Itoshe tu Kusema (1) Sio Mimi ...!!

Narudia Sio Mimi na Sina Maumbile Yale ..!! (2) Hiyo Video Ninayoongea Kwa Sauti Nikiwa Bafuni Nilikuwa naongea Na Mtu Niliekuwaga Nae Katika Mahusiano Ni Kwaida Mtu Kuzungumza na Mtu wako Wakati Wowote Mahala Popote Sitaki Kujua Alietengeneza Ni Nani Au Kaipataje ila Ninachosema ni Kwamba YEYOTE Alie Husika na Hili Swala Linalolenga Kunichafua Na Kuni zalilisha LAZIMAAAA NARUDIA LAZIMAAAA ...!!! Atafikishwa Mahakamani Ili kukomesha CHUKI & NA TAMAA zinadho Athiri watu wasio Kuwa na Hatia ...!!! (3) Hiyo Unayoiona Hapo Ni orodha Fupi Ya Majina Ya Watu Ambao Penginepo Hutowaona Tena Hapa (INSTAGRAM) Watanilipa (FINE KUBWAA) ikiambatana Na Kifungo Juuuu Ili IWE MWIKO kama Sio Mfano MAANA SHERIA ITAFWATA MKONDO 🙏 JOPO LA WANASHERIA WANGU WAPO KAZINIII 🐘

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad