Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Harmonize Apanga Kuwashitaki Rayvanny, Diva Lovess, Baba Levo, Juma Lokole na Wengine Kwa Kusambaza Picha na Video za Kumdhalilisha


Mwimbaji Harmonize ameapa kuwashtaki Rayvanny, Diva The Bawse, Baba Levo, Juma Lokole na wengine wengi aliowataja kwenye shauri lake kwa madai ya kuchapisha na kusambaza picha, sauti pamoja na video chafu kwa lengo la kumchafua na kumdhalilisha.


Kwenye post yake hapa instagram, @harmonize_tz pamoja na timu yake ya wanasheria, kwanza amekana kuhusika kwa namna yoyote na picha hizo lakini pia kwenye taarifa yake amesema matendo hayo ni makosa kisheria na ameapa kuwafikisha mahakamani. SWIPE kusoma taarifa hiyo pamoja na maelezo ya Harmonize.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments