Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Harmonize ndiye msanii mmoja Pekee Tanzania anaywachachafya na kuwaumiza Vichwa WCB nzima


Harmonize ndiye msanii mmoja Pekee Tanzania anaywachachafya na kuwaumiza Vichwa WCB nzima kuanzia Boss, Menagers, Machawa na wanaume Pisi kali  kama akina Lokole na Aristote.

Wanatumia Nguvu kubwa kuhakikisha anakufa kimuziki bila kujua ndio wanazidi kufanya aongeze Wafuasi.

Kufuatia kitendo cha WCB Kuedit Video na kuanza kusisambaza ili kumuharibia image Harmonize kimewadharaulisha na kuwashushia heshima kubwa Waliojijengea kiujanja ujanja miaka yote.

Wangetaka kumzima Harmonize wangemuacha bila kumsema sema na Wangeonyesha kumsapoti katika kazi zake lakini hii kumchafua ndio Wanampa umaarufu zaidi bila kujua.

WCB wanaona afadhali bifu na Alikiba lakini sio huyu Jeshi kutoka Kusini.

Harmonize katika hili la kuchafuliwa kaupiga mwingi sana dakika ya nne tayari ana Magoli Matano.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments