Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Heka Heka ya Geah Habib Hatimaye Yapata Tuzo

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE'Segment' ya Hekaheka ya #LeoTenaCloudsFM inayofanywa na Mtangazaji #MalkiaWaNguvu @geahhabib imepata tuzo kutokana na kuwasaidia watu mbalimbali ikiwemo wanawake wenye uhitaji mbalimbali.

Tuzo hiyo ambayo imetolewa asubuhi ya leo na Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, TAMWA na UNESCO imepokelewa na Geah mwenyewe.


Post a Comment

0 Comments