Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Hii Hapa Orodha ya Washindi wa Tuzo za Oscars Zilizofanyika Jana

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Usiku wa kuamkia leo zimefanyika tuzo za 93 za Oscars/ Academy Awards mwaka 2021, kuwatambaua waliofanya vizuri kwenye kiwanda cha filamu duniani. Filamu ya 'Nomadland' imeshinda tuzo nyingi zaidi (3) kati ya vipengele 6 ambavyo ilikuwa ikiwania.


HII NI BAADHI YA ORODHA YA WASHINDI WA TUZO HIZO


BEST PICTURE

Nomadland


BEST ACTOR

Anthony Hopkins, The Father.


BEST ACTRESS

Frances McDormand, Nomadland


BEST DIRECTOR

Chloé Zhao, Nomadland


BEST SUPPORTING ACTRESS

Yuh-Jung Youn, Minari


BEST SUPPORTING ACTOR

Daniel Kaluuya, Judas and the Black Messiah


BEST ANIMATED FEATURE

Soul


BEST ORIGINAL SONG

"Fight for You", Judas and the Black Messiah.


BEST CINEMATOGRAPHY

Mank


BEST FILM EDITING

Sound of Metal


Post a Comment

0 Comments