Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Issa Azam 'Ali Kiba ni Muoga na Mbinafsi sana'


Kaka wa Alikiba, Issa Azam amesema Msanii alikiba huwa ni Muoga hajiamini kila wanapokutana.

Aidha, amesema Alikiba ni Mbinafsi hapendi Mwingine apate anashindwa ata kumsapoti mdogo wake AbdulKiba ndio sababu Wanafamilia hawampendi.

Issa Azam amesema haongei kwa Ubaya bali anaongea ili Alikiba ajifunze kuishi kwa Upendo.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments