Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Jack Chan Agoma Kumpa Urithi wa Bilioni 858 Mtoto Wake

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Jack Chan aliwahi kukiri kwamba atatoa sehemu ya utajiri wake unaofikia ($370 million) takribani TZS Bilioni 858 kwa watu wenye uhitaji, kuliko kumpa mwanaye wa Kiume, Jaycee.

Kwenye mahojiano na NewsAsia, Jack Chan alitoa maelezo ya kwanini ameamua kutompa urithi wa utajiri wake mwanaye huyo mwenye umri wa miaka 39 "Kama ana uwezo, anaweza kutafuta pesa zake mwenyewe."

Post a Comment

0 Comments