Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Jafo kukutana na wawekezaji april 17 "nataka nijue wamekwama wapi"

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Selemani Jafo amewaita wawekezaji wote nchini Aprili 17, kwa ya kuwaisililiza wamekwama wapi lengo likiwa kuboresha utendaji kazi.
Waziri Jafo ameyasema hayo leo katika ofisi za NEMC jijini Dar es Salaam ambapo pia amepiga marufuku matumizi ya mifuko ya Plastiki katika maeneo mbalimbali ikiwemo masokoni.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments