Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Jay Z Adai Siku Akiondoka Akumbukwe Kama Anavyokumbukwa Bob Marley

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


 "Nikiondoka mnikumbuke kama B.I.G" huu ni mstari wa @johmakinitz kwenye dude lake 'HAO' ambalo lilimtambulisha kwenye game. Kila mmoja anaishi hapa duniani akiwa na malengo ya kuacha alama ili kizazi kijacho kimkumbuke kama mtu fulani.


Kwa upande wa Jay-Z ambaye ameitumikia industry ya muziki na jamii kwa ujumla kwa takribani miaka 33, amesema siku akiondoka anataka watu wamuenzi sawa na Mwanamuziki Bob Marley na wakubwa wengine walioacha alama.

-

"Sina majivuni, si ndio? Natumai wataniongelea Mimi pamoja na majina kama Bob Marley na wengine wakubwa. Mimi sipo kwenye upande wa kuizungumzia." alisema Jay-Z alipoulizwa kuhusu watu wamkumbuke vipi, kwenye mahojiano na The Sunday Time

Post a Comment

0 Comments